Kanali_ JF-Expert Member Joined Nov 18, 2018 Posts 6,438 Reaction score 10,180 Jan 17, 2025 #21 Ukiona waitiwa fursa jua wewe ndo fursa. Utapeli wa kizamani mno.
Pa-Paa JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 916 Reaction score 1,363 Jan 17, 2025 #22 Tafuta kazi ya mikono ufanye, Mungu habariki midomo. Utajikuta unaungana na wenzio wa Kongo usipobadirika.
Tafuta kazi ya mikono ufanye, Mungu habariki midomo. Utajikuta unaungana na wenzio wa Kongo usipobadirika.