Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2, sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha, naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Huwa kwenye pakiti moja zinakuwa pieces 3. Kama umekuta pieces 2 Basi ni hakika kuwa piece moja ilitumika😢😆
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2, sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha, naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Mrejesho
 
Daah kudadaki hizi ndoa hizi, bora ndom tu ndo umekuta na kilainishi yani kwamba... yaani kumaanisha....... eti nini.........??

Aisee jibu linaishia kooni.
 
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa wanaume tutakuwa hatuna tena uwezo wa kuhoji kitu chochote kwa wake zetu [emoji3][emoji3]
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2, sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha, naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Na wewe mnunulie box la condom na caton ya KY,akikuuliza za nini mwambie unafurahi ya kwamba anatombwa kwa kujikinga.....utakua umempa funzo mkuu fanya ivo
 
Vimkoba vyao achana navyo, utakufa kabla ya wakati. Sasa puuzia tu wala usimuulize ila uwe unachunguza mienendo yake. Mimi ninaona alikuwa na ahadi na mchepuko ila hakutokea bahati mbaya akasahau kuzihifadhi hizo zana.
 
Back
Top Bottom