Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Tutafika tu.
download.jpeg
 
Inauma sana sana. 😣😥😭😡😠
Ila at least anajikinga!
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Kilainishi umekiona wapi ?
 
Ndugu yangu
Huu ushauri unaoutafuta kutoka kwetu usije ukajutia lakini.

Huyo mkeo ashaona unachepuka sana na sasa kaamua kupiga na kushinda mechi zake pia. Hiko kilainishi huwa kinatumika kama limbwata kumshikilia mchepuko wake. Mchepuko anakula mazao na mbolea.

Kuwa mpole, jirekebishe maana mwanamke akishaanza kuchepuka kifuatacho ni members wa JF kujulishwa member wa Jf kutangulia mbele za haki
 
inawezekana kuna mtu aliziweka bahati mbaya kwenye pochi yake
 
Ungebadili heading useme nimekuta condom kwenye begi la mume wangu.

Namtaka mwanaume kama wewe walai.
Japo naendelea kupitia changamoto naona pia unanitusi badala ya kunishauri
 
Yani hiyo kesi ni sawa na bange ikikutwa imeota shambani kwakoo ni yako ,ila dhahabu ni za serekali, mkuu huyo ni muhujumu uchumi astahili dhamana
 
Asante kwa ushauri ndugu ila najaribu kumwambia mchungaji nione atanisaidiaje
Samahani mkuu Kwa hilo umenikera sana.wanaume ni majasiri katika familia zao Siri za chumbani zinabaki chumbani wana JF wengi hatujuani sio mbaya sana. mueke chini mkeo akuambie ukweli Kwanza usikurupuke Kwa kila mtu kumuelezea mambo hayo
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Kama kusoma hujui hata picha nayo huoni? Wenzako wanafukua hadi mtaro.
 
Si kweli, you'r gosping, Hakika sio kweli, wenye wake tukiona hivo tunafaham reaction zetu, sio hizo zako. Sio kwel nasema
Ni kweli lakin kuna aina nyingi za wanawake huenda jamaa alishawahiwa, means alishapigwa limbwata la maisha so huwezi jilinganisha nae. Haiwezekani uone condom plus kilainishi halafu upate mda wa kuja kuuliza huku jamvini
 
Back
Top Bottom