Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Yaani rafiki yake wa kike asahau kondomu za kiume kwenye begi la mke wako.
😆😆😆😆
Msioe wafanyakazi ndugu zangu
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real

Wanaume tuko wachache sana dunia hii, wee pumbaf, kichwa cha mvulana kabisa hicho umebeba.. Ushauri gani? Piga fimbo huyo malaya uko nae au fukuza kabisa.. Alafu wee, aaaarrhgw😡😡😡😡😡😡
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Usijiue Kwa ajili ya mke wako, uhai wako unathamani sana kuliko mapenzi na maumivu kwa mkeo.
Muulize alafu angalia posture yake wakati anajibu, kumgundua muongo ni rahisi ila inahitaji umakini.
Akikiri kuwa anakusaliti, muulize sababu ila kama hakuna sababu zinazojitosheleza, unajua Cha kufanya ila usijiue
 
Mpongeze kwa kutoa "utumbi" kwa usalama. Wangempanua bila kondomu wala wala mafuta je?
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Kilainishi? 😂watu wameshapita na jicho masikini
 
Hivi wewe jamaa sijui uko vipi! Mimi hata angenidanganya eti rafiki yake alisahau kwenye pochi yake angekula vitasa vya kufa mtu.Mwanamke kuniletea mambo meusi sinaga mbili mimi.
 
Kama huko Dar hilo ni jambo la kawaida sana tena Me wengine utoa ushirikiano. Kama unabisha lete hoja kwenye kijiwe chako kuwa ulikuwa unachokonoa simu ya mke wako uone utakavyooneka haufai.
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
kaa kimya anza upelelezi wa kimya kimya jua hata umuoji vipi lazima akatae kosa .

kwahiyo kama una moyo wa kuvumilia anza kumpa uhuru sana mkeo ajisahau upate ushaidi vizur

ila kama hauna moyo wa uvumilivu ongea na mkeo mapema asije akakuletea maradhi au mtoto ambae sio wako.
 
Ukiona mwanamke anatembea na kilainishi ujue huyo anatoa tigo ni ww tu ujanja wako, kwa hyo mkuu KIBOD3 shemu wetu ni mdau na kwa sababu ww hujawah taka ataendelea toa tu huko nje na hata kuruhusu hata umkague.

Ova.
 
Back
Top Bottom