Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Makubwa ??
Kilainishi so anagawa kwa bossy tigo ili uishi kwa raha simlikuwa mnaishi kwa raha na amani ndio raha yenyewe hiyoo
 
Unakuta mtu anagawa jicho ww ndani kukupa anaogopa utamchuliaje so bora akatoe nje..

bt tusiwe na fikra mbovu fanya kwanza uchunguzi.
Mkeo agawe jicho usijue mkuu? Utakuwa mwanaume wa aina gani, jicho lililogawiwa halifichiki hata kidogo.
 
Kusema kweli hata mim kifua cha kukaa na lidude zaid ya dk 30 siwez tena mimi mwembamba sitak kukonda kwa kweli
Sijui mleta mada anapataje usingizi kwa hali hiyo, kweli watu tunatofautiana.
 
atakuwa anachepuka na hiko kilaininshi utakuta mchepukaji anapewa mpaka 0713. Pole mkuu
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta conom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
 
Kwani kabla ya kumuoa alikuwaje? au niwe straight - wewe ndiye wa kwanza kwake?.
Ongea naye mwambie hujafurahishwa na suala hilo - mwambie ni vibaya kujua.
Majibu atakayokupa ridhika nayo tuliza moyo japo ni vigumu.
Kwa suala la kilainishi, hapo ni kizungumkuti.
Kuna rafiki yangu aliwahi kuniambia kuwa watu wengi tunafanya utani katika masiha ya ndoa, alisema kama ni umalaya fanya na mkeo au mmeo maana hayo unayoogopa kumfanyia ndiyo akifanyiwa huko nje anapotea kabisa. Kama kwa Maparange nawe si unaweza, tena anza kumshawishi kwa siri - utaona uelekeo..
 
Kaka kama bado unampenda huyo mkeo, fanya uchunguzi wako,
1. Anza na simu yake na hakikisha hajui kama unamchunguza, utapata lead tu
2. Ukipata chochote mtafute jamaa anayekulia mkeo, lipiza kisasi kwa namna utakavyoona ili amfikishie mkeo, hakika mkeo hataweza kufanya ujinga tena maana anajua utajua.
3. Baada ya mkeo kujua kuwa unajua issues zako , mweleze kitakachompata kama atarudia kuliwa nje tena.
4. Mwisho kabisa, kama huna mpango nae tena, ndo tiketi ya kumpiga chini mazima,
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta conom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Chai chai chai chaiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......
 
Back
Top Bottom