Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real

Dah, I feel you, unataka kuwa positive, ila unapigiwa mke Mbwa wewe
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
We ka unaogopa kumuuliza hebu niibobo namba yake nikusaidie kumuulizia shemeji yangu bloangu halafu nikupe mrejeshosho sasa hv,haiwezekani bloangu
 
Una maana gan kusema hivyo [emoji848]
Mume kabisa akute condom ndani ya pochi ya mkewe halafu airudishe akae kimya?
Utashtukia umerukiwa usoni macho yamenyofolewa kwanza ndo mahojiano yaanze.

Halafu anasema roho inasita kumuuliza, means anamuogopa.
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Ukijiua,wakulungwa ndio watamtafuna vzr,uliza,akupe jibu,akishindwa,piga chini,imeisha hiyo
 
Kuna boda boda anasafisha mtaro wa mkeo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleeeeeh
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Tayari.
Kwishaaaaaa
 
Chonde chonde usimuulize utamuudhi ataghafilika sana!!!

Vimwanaume vingine dar kama vibinti
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Mmh! Huyo mke siyo Kelsea kweli![emoji28]
Mkuu, wanawake hawajawahi kueleweka. Kikubwa akupe heshima tu, hayo mengine ni ziada
 
Habari wanajamvi, mimi na mke wangu tuna miaka 4 ya ndoa tangu mwanzo wa mahusiano yetu sijawahi kuona dalili zozote kwamba ananisaliti na familia yetu ikiwa inaishi kwa amani na furaha.

Sasa mwezi uliopita wakati natafuta earpods katika mkoba wake wa kazini nikakuta condom ya kiume aina ya rough rider pakti 2 sasa najiuliza zimefata nini kwenye begi la mke wangu.

Japo bado sijamuuliza Roho inasita au rafiki yake wa kike alizisahau bahati mbaya nakosa kuelewa wanajamvi natamani kujiua nikifikiria mtoto wetu nguvu zinaisha naombeni ushauri wenu.

#depression is real
Ukiona manyonya ujue ameliwa
 
Back
Top Bottom