Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Huwa kwenye pakiti moja zinakuwa pieces 3. Kama umekuta pieces 2 Basi ni hakika kuwa piece moja ilitumika😢😆
 
Mrejesho
 
Daah kudadaki hizi ndoa hizi, bora ndom tu ndo umekuta na kilainishi yani kwamba... yaani kumaanisha....... eti nini.........??

Aisee jibu linaishia kooni.
 
Kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa wanaume tutakuwa hatuna tena uwezo wa kuhoji kitu chochote kwa wake zetu [emoji3][emoji3]
 
Na wewe mnunulie box la condom na caton ya KY,akikuuliza za nini mwambie unafurahi ya kwamba anatombwa kwa kujikinga.....utakua umempa funzo mkuu fanya ivo
 
Huwa kwenye pakiti moja zinakuwa pieces 3. Kama umekuta pieces 2 Basi ni hakika kuwa piece moja ilitumika😢😆
Kumbe na ww unatumiaga njooo tutumie wote basi msweet
 
Vimkoba vyao achana navyo, utakufa kabla ya wakati. Sasa puuzia tu wala usimuulize ila uwe unachunguza mienendo yake. Mimi ninaona alikuwa na ahadi na mchepuko ila hakutokea bahati mbaya akasahau kuzihifadhi hizo zana.
 
Ndo wale ukimgusa anakwambia amechoka kumbe kuna wana wanatibua mpk tope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…