Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

ni mama wa nyumbani tu,kulea watoto hana kazi yeyote
Mmhhhh! Kama hana biashara yoyote ni mama wa nyumbani tu jiandae braza, akimaliza kupiga "k" ya mkeo atakuja kupiga na "k"-(kalio) yako kama hujachukua hatua mapema
 
Hilo haliitaji kuomba ushauri.

Acha ujinga ndugu.
 
Ivi ukichapiwa mke inakua imeama wadau,futa msg anza upya,kama MTU akupend akupendi tu,ata umulishe yabisi,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…