Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Mkuu usirudie tena kushika cm ya mama watoto wako,kama umeamua kuish nae na unampenda basi inatosha usichunguze mambo mengine ipo cku utakuja kufa kwa pressure,don't touch the dial mkuu.
Huwezi kuacha kushika cm ya mke wako au mme wako labda mmedanganyana tu hamjaoana cohabiting couple

Ndoa mnakuwa mwili mmoja mke wangu anashika cm yangu na mi ya kwake kama uwezekano huo haupo basi kila mtu atafute atakayeridhika nae

Msitoe mawazo mgando hivo mna ndoa za ajabu nawaonea hata huruma cm ya mke wako usishike ya jirani unashika ya ndugu unashika utakuwa na utindia wa ubongo kuishi maisha nayo


Labda tangaza wazi kuwa mke wako cha wote mi kwangu cm zangu za mke wangu zinapokelewa at loud speaker cnaga ujinga huo mi
 
Pole sana...
Inasikitisha sana...

Ila kabla hujafanya maamuzi, jaribu kutafita ukweli wa hiyo " k " ni nini haswa...


Cc: mahondaw
K inajulikana jamana ni uchi wa mke yeye aongee naye akikiri Sawa asipokiri ajue mke wake ana mahusiano na ajue ataishije nae cha kwanza ajue yuko kwenye haari ya magonjwa ya kuambukizwa Hiv ,sti, homa ya ini na kadhalika

Ajilinde ; tumia kondom kipindi mnayajenva upya asije kukupa magonjwa
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Kaka hiyo cm ichukue ili kuvunja hiyo chain, namba yake tupa muanzishie line nyingine tena mtandao be serious usikubali wanaochekacheka humu

Eti wanakwambia usishike cm yake mi mchepuko tu cm nashika iweje ya mke wangu maajabu nimeyaona hapa jf wako watu hapa hawajaoa mmeolewa huwezi acha kushika cm ya mke wako

Chukua maamuzi kama mwanamume break hiyo chain kabisa usiwe na huruma usimjulishe asijeakainakili pengine

Fanye check up kwenye cm yake mara Kwa mara huyo ni mkeo usidanganywe humu wengine humu wameolewa ndo maana wanatoa ushauri wa kilegevu

Kwa kweli wanaume wa kizazi hiki tukapimwe akili hamshiki cm za wake zenu huoo ni ujinga mkubwa mnoo

Mmempa ibilisi nafsi ngoja mliwe, mi cm huwa nachukua mbele yake najua majina yote ndani ya cm yake na kuna baadhi ya mitandao nmemshauri asiitumie

Mwanamke lazime alindwe ninyi mmekulia wapi nyie msionua kulea wanawake, mnastaajabisha sana haloo
 
usijali hiyo K maana yake Kinikia mkuu kwahiyo usihofu
 
Mh.Tulu hukunielewa vzur,namaanisha kuwa usimchunguze sana mwanamke cuz wengine wanashka cm za wake zao ilikuona wake zao wanawasiliana na akna nani,lakn kama unashka cm ya mkeo kwaajili ya mawasiliano labda cm yao haina salio na umeamua kutumia kilongalonga cha wife kwaajili ya ku-solve mambo,hyo iko poa lakn cyo kumchunguza
 
Wanawake woooote hawa lakini bado unamng'ang'ania huyo mkeo asiye mwaminifu? Piga chini anza upya. Ni ngumu sana kwa mwanaume anayejiamini kumsamehe mwanamke msaliti. Aidha, mwanamke anayechepuka huwa haachi. Hawa wanaokushauri sijui eti ukae naye kwa upendo muongee abadilike hawakutakii mema. Mwanamke mzinzi haachi kamwe. She will be as faithful as her options. Akipata upenyo anafanya yake. Wewe utabaki na msongo wa mawazo for the rest of your marriage. Nini kujitesa wakati wanawake wamejaa all over the place. Gangamaa piga chini akagongwe kwa amani mtaani huko. Wewe ugharamie halafu mabwege wengine wale kilaini tu? Upuuzi.
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,

Kama ilivyo kwenye barua kukuta barua sio yako kwenye box la posta. Kama ilivyo kwenye email kupata spam. kama ilivyo kwenye simu kupata wrong call. Kama ilivyo kwenye M-Pesa kupokea fedha zi zako. Basi yawezekana hata kwenye SMS hayo kutokea. Ila situations hizi haziondoi theory ya kuwa hiyo SMS haijafika kwa intended person.
 
Mkuu, kaama upo serious basi piga moyo konde anza kuangalia unapokosea ni wapi..jisome , msome mwenzio...then anza kujenga uwanja wa maelewano baina yenu..mwanamke akianza kuchepuka jua tatizo linaanziaga either kwetu au yeye tu sio wife material..
usimwambie kama umeiona hiyo mesej, tena kama kuna uwezekano uanze kufwatilia kwa umakini huku ukiwa mpolee, then kama anakupenda kweli atajirekebisha..ila lasivyo basi ataendelea kuliwa tuuu....
Ila nasisi wanaume tunazengua..weweeee mpaka anapunguza mapenzi kwako hukushtuka tuuu au ulikua busy na kimchepuko?

Tuishi na hawa viumbe kwa akili sana mkuu...pole sana
 
Back
Top Bottom