Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,


Mr mgeni usiwe na mambo ya kitoto kihivyo, hizi tabia waachie wanaume wa Dar. Unamdhalilisha mkeo kwanini lakini wakati haya tulisha yamaliza jana? Nilikuambia mkeo ndiye anayetuletea Mama ntilie hapa getto. Ile jana baada ya kutuletea KACHUMBALI na wageni wangu kuipenda ndipo nikamtumia ule ujumbe kumuuliza yale maneno, je nilifanya kosa? Ni Kachumbali tu, hakuna cha ziada kati yetu...isitoshe ni mke wako. Mimi na wake za watu tofauti kabisaaaa!
 
Alafu mm napenda kusifu hibo ikiwa mwanamke anastahili sifa isije kuwa ni mkeo yule ila ndugu nikupe tu ushauri mmoja km mmezaa watoto ishi nae tu natafuta mwizi wako utoe hukumu maisha yaendeleee
 
Umesoma unakuja kuomba ushauri, hongera kwa uvumilivu. Wengine hiyo sms ingekuwa imeshaliamsha dude...
 
usimwambie chochote akashtuka onyesha upendo wa hali ya juu sana then fuatilie hatua moja baada ya nyingine utajua kilichopo nyuma ya pazia
 
Nilimtumia Mimi hyo SMS... Nilimaanisha kinikia
 
We ilishika simu yake ili iweje mi nilikoma ni miaka 4 imepita cjawai sahau nilichofanya ni kumuhachisha kazi maana ilitoka kwa bosi wake
 
Back
Top Bottom