redpepeta
Member
- Jun 7, 2017
- 58
- 55
Wakomage kuangalia kupekua simu za watu...unakuta mtu anajijua roho mkononi bado unaangalia msg jmn km una roho ndogo usipekue simu za wenzi wenu mana mtakufa mdomo wazi kwa mshangaoIshi maisha yako kwenye simu yangu mwenzio unatafuta nini mjinga wewe.
Kilichopo akilini mwake unakijua????