Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Aiseeee ulikuwa unatafuta nini kwenye simu ya mkeoni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Bora umefanya utafiti ndugu. Jamaa mwenyewe kichecheMr mgeni said: ↑
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Wakubwa Nawasalimu... Jana nilijaribu kuchangia bila kufuatilia miendeno ya Huu Mlalamikaji ,.. Kiukweli Mke wa Huyu Mlalamikaji Amevumilia Mengi sana naomba niweke Machache tu hapa kama Kielelezo cha utafiti wangu kupitia huyu Mleta Mada na Mwisho nitaongea neno Moja.
Kwa kupitia tu haya Machache mkuu nakuomba ni kwambie Kitu hiyo Meseji haijatoka kwa Mwanaume ila Imetumwa aidha kutoka ukweni na Simu kaiacha makusudi tu ili usome uone kuwa kama wewe Unamuona hana thamani kwako basi Kuna Mtu anamthamini sana Aidha,
- Nimempata Mrembo Bikra- naomba Ushauri.
- Hakuna Mwanamke anayependa kuonekana vibaya kwenye Jamii
- Mitego ya Mke wa Mchungaji
- Nilimwomba Tigo ili nijue msimamo wake.
- Huyu Mwanamke nimfanye nini
- Boss wangu anamktaka NMcumba wangu kaniahidi Dau Nono
- Nimetoka Safari Nyumbani nakuta familia nzima ya Mke imehamia bila Taarifa
- Mchepuko Kaenda kuda hela ya Matumizi kwa Mke wangu baada ya kumpotezea
- Mke wa Boss kanitega
- Kanidanganya yupo Kwenye Siku zake kumbe kaweka tomato source
- Ogopa Sana Gwiji la Mjini Kwenda kuoa Vijijini
- Mama Mkwe ananipiga Mizinga Balaa
- Leo ndio nimeambiwa na mke wangu Nakupenda Mume Wangu
- Mwaka mzima Mke ameninyima hata kwa Kondomu
- Haya ndiyo Majibu ya Mama Mkwe Baada ya kumfuata Mke wangu na Kumuomba Msamaha.
Anataka uone Maumivu anayoyapata kwa vituko ambavyo umekuwa ukimfanyia.
Pia Kumbukeni Pia karibia wenzi wetu ni Members wa JF kwa hiyo tuyasemayo wanayaona Pia na hakuna kitu kibaya kama kuleta matatizo yako ya Nyumbani kuja kushauriwa huku..
Ngoja niendelee kufanya kautafiti kangu nitakuja baadae
"K"Kalimati hiyo mkuu.. Mimi mwenyewe huwa nazielewa sana.ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Ushaniita mpumbavu unataka faida ya nn? Pita na hivi[emoji117] [emoji124] [emoji124]Faida yake ni nn,ewe mpumbavu