Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

4dac6dc5adfa7ed577b02ea2ed31eb78.jpg
 
Mkuu hapo ujue unakula na mtu. Chakufanya trap mawasiliano NA movement ZAKe Ukimkamata live. Amua magumu
 
Mkeo hapo nyumbani hana biashara yoyote inayoanza na herufi 'K'?Mfano kalimati,kachori, kababu, keki nk?
 
Nashangaa umepataje ujasiri wa kuja kuandika humu JF. Ingekuwa Mimi ungesikia Kamanda Sirro ananitafuta na dau la milioni 10 angetangaza.
Usifuate ushauri kama huu
Ukiona Makinikia ujue dhahabu ilisha chimbwa cha msingi unda tume ya kutoa mapendekezo na kutekeleza adhabu ipi itastahili kwa wahusika
 
itakuwa ni umoja wa makanikia huwa tunaita kanikia nae kafupisha kaita k
 
Hiyo ya vita ya papuchi haikuwahi kumuacha mtu salama ...
 
Km mmeshindwa kuzuia K isiibiwe sasa mtaweza kuzuia madini yasiibiwe?
 
Back
Top Bottom