Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Nimekuta hiki kitu kwenye sim ya mama watoto.nifanyeje?

Swali LA mvulana linatakiwa lijibiwe na mvulana mwenzake
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
Dah..wewe ni mme bora..wachache sana wenye uwezo kama wako. Make wengine tungekuwa na report inayosema nipo wife nasikia amelazwa MoI...kwa.kuwa nilokuta hii meseji kwa simu yake..na mimi pia nimeamia sehem inhine kama akitoka hasinikute home..make hatarud MoI bali ataenda kwa kabur tu..so nimeamua kuondoka mapema
 
ni ujumbe wa message ukisema
"ivi iyo k umeweka nn mbona haishi utamu"?
nimenukuu,
huenda typ error au ana maana ivi hiyo okayumeweka nini maana haiushi utamu huenda kuna kitu kilikuwa kinazungumziwa.
 
wewe unaionaje ni kweli haishi utamu? kma jibu ni ndio bac ni yenyewe
 
Kwa kua hajawa wazi kuhusu K ni nini basi we achana nae tu, subiri siku akitoa maana ya neno K ndio uje kuomba ushauri.

Ukiona manyoya ujue kaliwa[emoji23]
 
Back
Top Bottom