Hongera sana kwa ushauri mzuri, hakika wewe utakuwa ni mke mwema na bora kabisaKama ni mkeo maana yake wewe ndio umemuoa kwa Ku propose kila kitu,nae alikubali na kitendo cha kukubali maana yake yeye yu tayari kua chini yako hivyo basi muite muweke chini akueleze nini maana ya Lv na ili kujiridhisha Fanya utafiti wa kina kwa kuchukua hiyo namba kwanza contact nae kwa siri ili ufahamu kama ni mwanamke au mwanaume na anapatikana wapi
n.k (HAPA MTAFUTE MDADA YEYOTE UNAYEMUAMINI AKUFANYIE HIYO KAZI)
Kwa hali ilivyo sasa waungwana kumchunguza mkeo au mumeo ni wajibu wala tusitake kufanya kua ni jambo la kawaida
Light vehicle (lv)Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuipekua simu ya mke wangu nikakuta jina limeseviwa ''lv" , na tunajua msimamizi wa mke ni mumewe, so kuchunguza kila linaloendelea ni lazima kwa mkewe. Je hili ni neno ama herufi ?, manake ukitaka kulitafsiri kwa lugha ya malkia utapata maana nyingi sana , linamaanisha nini haswa?
Karibuni wadau bila kuchafua hali ya hewa.
Shukrani sana,Tumche Allah atuonyeshe njia thabitHongera sana kwa ushauri mzuri, hakika wewe utakuwa ni mke mwema na bora kabisa
Siku zote Mume ndiye msimamizi wa mkewe kwa kila kitu,kuanzia mavazi, chakula, huduma zinginezo na hata kiroho na kiimani ,ukiona umeshindwa kumsimamia mkeo na bado ukaendelea kukaa nae basi jua unatenda dhambi kubwa sana na kwetu sisi waislamu zimewekwa Talaka ili sasa wale wanawake waliopotoka na kuota mapembe mbele ya waume zao Waweze kuadhibiwa.Hahaha nimecheka mkuu..kwamba mume ndio msimamizi wa mke[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...pole sana asee hakuna mtu anaesimamia mwingine..wazai wake pengine walimshindwa uje ww uli3mkuta anajua tayar kuvuka barabra
Swali mujarabuKwani ume muuliza yeye kasema unamaanisha nini maana mwandishi ndo anajua alichao kiandika
Hatupendagi ujingaNawe save kwenye sim yako jina kama hilo halafu weka hapo mezani sim yako