Simu ya mwanamke haiguswi..... Sasa ona anajipa presha. Wakat mwingine ukute n mwanamke mwenzie coz sisi tunezoea kuitana love, dia, mpnz ayo ndo majina yetu pale ushost unapokua umezid. Wanaume mkue sasa acheni kupekuliana simuSio vizuri kukwepa tatizo,dawa ya tatizo ni kulitatua.
Kagusa ya nin???? Wao c wanatambaga apa, simu ya mwanaume ione kituo cha polisi na sisi za kwetu wazione ivoivo..Hapo sasa huu wetu utakuwa ni ubashiri wakati jibu angelipata kwa huyo huyo mwenye simu ambalo lingekuwa la uhakika zaidi.
Usipanick brother... lv inaweza kuwa namaana nyingi.. ila chunguza vizur sana.. huyo anaeza kuwa mchepuko wakeHabari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuipekua simu ya mke wangu nikakuta jina limeseviwa ''lv" , na tunajua msimamizi wa mke ni mumewe, so kuchunguza kila linaloendelea ni lazima kwa mkewe. Je hili ni neno ama herufi ?, manake ukitaka kulitafsiri kwa lugha ya malkia utapata maana nyingi sana , linamaanisha nini haswa?
Karibuni wadau bila kuchafua hali ya hewa.
Nimekosea nini dimaaUmekosea