zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mambo ya mapenzi ni magumu na ya ajabu mno,mpenzi wangu kitambo nilikuwa nime msave kwa jina lake. baada ya mda nkamsave kimahaba
siku moja kanitafuta kweli nkawa sipokei simu akaja mpaka ghetto baada ya kilicho tokea akashika simu yangu na kukuta missed call ya za jina la kimahaba {ambaye ni yeye) alizua ugomvi mkubwa kuja kujua n yeye akanipenda zaidi
siku nkakuta na mie jina la kimahaba ametoka ongea nae kumbana kumbe ni mama yake. inawezekana sana iyo lv ni love na ikiwa na maana ni mama yake na wala sio mpenzi