SuperHb JF-Expert Member Joined Mar 21, 2016 Posts 911 Reaction score 751 Nov 10, 2024 #1 Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake. MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake. MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Nov 10, 2024 #2 Mtakuja kuta picha za Balthazar au namba zake za simu muanze kulia lia,wacha kupekua pekua mikoba ya mkeo
Mtakuja kuta picha za Balthazar au namba zake za simu muanze kulia lia,wacha kupekua pekua mikoba ya mkeo
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Nov 10, 2024 #3 Tuanzie na Imani yake kwanza hapo
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,226 Reaction score 8,961 Nov 10, 2024 #4 Mmh....nilidhani nimeona kila kitu
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Nov 10, 2024 #5 Don't google your symptoms.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Nov 10, 2024 #6 Usiogope, hua anayatumia kusugulia sagamba lake mguuni hasa hasa sagamba la mguu wa mwanamke wa kisambaa
Usiogope, hua anayatumia kusugulia sagamba lake mguuni hasa hasa sagamba la mguu wa mwanamke wa kisambaa
Zionist JF-Expert Member Joined Dec 5, 2017 Posts 1,866 Reaction score 2,996 Nov 10, 2024 #7 Usije kuta vinawakilisha kende zako...!!! Umetegwa mzee baba.. 😌😌😌
Tsh JF-Expert Member Joined Aug 26, 2021 Posts 17,022 Reaction score 36,936 Nov 10, 2024 #8 Hizo ni korodani zako, siku ukikosea anaziponda na mawe mpaka zinapasuka Tuus, basi na wewe zako huko Twaaas.
Hizo ni korodani zako, siku ukikosea anaziponda na mawe mpaka zinapasuka Tuus, basi na wewe zako huko Twaaas.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Nov 10, 2024 #9 Maana yake kakuweka kwenye mkoba, mawe mawili ni mbupu 2
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Nov 10, 2024 #10 Mpatie tuvitu twake. ongeza kijiwe cha tatu. mwambie vyote umevikuta kwenye mkoba wake, umchanganye kidogo. akisema vilikuwa viwili mwambie vimezaa.
Mpatie tuvitu twake. ongeza kijiwe cha tatu. mwambie vyote umevikuta kwenye mkoba wake, umchanganye kidogo. akisema vilikuwa viwili mwambie vimezaa.
Kidagaa kimemwozea JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 3,680 Reaction score 6,554 Nov 10, 2024 #11 Muulize
T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Nov 10, 2024 #12 Kama ni mtu wa kupenda ushirikina,ukute kayatoa kwa SANGOMA
Mayor of kingstown JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 2,898 Reaction score 4,156 Nov 10, 2024 #13 Mbupu zako izo fanya ujinga azipasue
Z zebri JF-Expert Member Joined Nov 9, 2021 Posts 727 Reaction score 2,167 Nov 10, 2024 #14 We nae unatafuta nini kwenye pochi ya mkeo. Huwenda kanunua vya kusugulia miguu Muulize mwenyewe atakupa jibu
We nae unatafuta nini kwenye pochi ya mkeo. Huwenda kanunua vya kusugulia miguu Muulize mwenyewe atakupa jibu
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 2,971 Reaction score 9,437 Nov 10, 2024 #15 Utajiri huo mkuu kayauze, umasikini sasa basi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Nov 10, 2024 #16 Labda urembo tu
Braying JF-Expert Member Joined Jan 31, 2023 Posts 225 Reaction score 440 Nov 10, 2024 #17 Kama ni mfanya biashara yatakuwa yakuzuia chuma ulete. Muulize bwana
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Nov 10, 2024 #18 Labda ni mawe ya upako.
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 12,826 Reaction score 17,371 Nov 10, 2024 #19 zebri said: We nae unatafuta nini kwenye pochi ya mkeo. Huwenda kanunua vya kusugulia miguu Muulize mwenyewe atakupa jibu Click to expand... Kusugulia magaga vingelikuwa na upele, sasa hivi vipo smooth. Hizo ni dawa za 'lukomolo', nsamba ama limbwata la kumhandle mumewe asiwe na sauti.
zebri said: We nae unatafuta nini kwenye pochi ya mkeo. Huwenda kanunua vya kusugulia miguu Muulize mwenyewe atakupa jibu Click to expand... Kusugulia magaga vingelikuwa na upele, sasa hivi vipo smooth. Hizo ni dawa za 'lukomolo', nsamba ama limbwata la kumhandle mumewe asiwe na sauti.
T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 5,606 Reaction score 7,032 Nov 10, 2024 #20 Tony Laurent said: Labda ni mawe ya upako- kama huwa anakwenda kwenye huduma za maombezi Click to expand...
Tony Laurent said: Labda ni mawe ya upako- kama huwa anakwenda kwenye huduma za maombezi Click to expand...