kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Mawe yanayopatikana kwenye nyongo za wanyama hasa nyati dume. Yana bei sana. Nasema "huenda " sina uhakika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya manabii hayo 😀😀😀😇Kama Kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo,,,wakati napanga vitu vitu ndani,,, kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake,,,
MWENYE UELEWA,,NAOMBA ANISAIDIE HIIView attachment 3148727
Hayo mawe yafiche kisha Tafuta jongoo wawili watie ndani ya huo mkoba kisha nyamaza kimya...baada ya muda mwenyewe atakuambia kazi yake.Kama Kichwa Cha habari kinavyojieleza hapo,,,wakati napanga vitu vitu ndani,,, kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake,,,
MWENYE UELEWA,,NAOMBA ANISAIDIE HIIView attachment 3148727
Sasa hayo ndo maalum kwa ajili ya kulainisha sagambaNi tudogo,,,halafu tuko smooth,,hatuwezi kusugua
Itakuwa madini!Mtakuja kuta picha za Balthazar au namba zake za simu muanze kulia lia,wacha kupekua pekua mikoba ya mkeo
Madini hayo mkuu peleka kwa sonara chapKama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.
MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
View attachment 3148727