Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

Nimekuta mawe mawili kwenye kimkoba cha mke wangu

Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.

MWENYE UELEWA, NAOMBA

Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.

MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII

View attachment 3148727
Binafsi sioni jambo la ajabu labda kwa sababu ya nature ya kazi yangu (Earth science) swala la mawe kwangu kawaida😂😂 nikiona jiwe na tofauti lazima nibebe.
Kuna mawe natumia kama decor hasa ya mtoni😋
 
Anapanga kukumaliza. Wcheki wataalam wa nyota wanajiita spiritual teacher. Asikudanganye anayatafuna kama pemba
 
Kuweka jiwe mfukoni au kwenye mkoba unazuia mavi usijinyee kama umebanwa na haja kubwa. Mi najua hivyo
 
Back
Top Bottom