Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kama huwa unamfulia nguo zake, kumpikia, kumuogopa n.k sababu ndio hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. LolUsije kuta vinawakilisha kende zako...!!! Umetegwa mzee baba.. 😌😌😌
Kama mie ndo mkeo ukishayatoa ndo imeisha hiyo.Unaonaje niyatoe afu nikaushe,,,nione reaction yake
Maana sitaki ajue kama nimepekua Mkoba wake
🤣🤣😂 niache bwana nimechoka kucheka SITAKIIIIIII 😂😂😂😂Sasa hayo ndo maalum kwa ajili ya kulainisha sagamba
😃😃Pengine kayaokota tu akayaweka mkobani. Mana yana muonekeano mzuri. Sio kama mawe ya kawaida
Kupanga vitu ndani ya nyumba; SAWA.Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.
MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
View attachment 3148727
Tuliambiwa tuishi nao kwa akili mkuu, ningekua mimi ningechukua marker pen nyekundu, halafu niyaandie herufi feki za kiarabu, kisha nayarudisha mkobani, siku ya pili naitwa polisi kusikiliza kesi ya wife kampiga mganga wake nondo ya kichwa... 🤣🤣🤣Hahahaaa. Lol
Hadi nimecheka aisee hivyo Mkuu umeamua kuwaza nje ya mstari. 🤣🤣
Saa ingine Mkuu waeza kuta ameyaona tu akayapenda akaamua ayaweke mkobani na si kingine. 😃😃Tuliambiwa tuishi nao kwa akili mkuu, ningekua mimi ningechukua marker pen nyekundu, halafu niyaandie herufi feki za kiarabu, kisha nayarudisha mkobani, siku ya pili naitwa polisi kusikiliza kesi ya wife kampiga mganga wake nondo ya kichwa... 🤣🤣🤣
Muulize mkeo, au unamuogopa!!Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo, wakati napanga vitu vitu ndani,kwenye mkoba wa Mke wangu nimekuta vipande viwili ya mawe kwenye mkoba wake.
MWENYE UELEWA, NAOMBA ANISAIDIE HII
View attachment 3148727