shanature
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 1,693
- 1,432
We ikopee haitafungwa mileleilikuwa kabatini lakini mara ya mwisho kuitumia ni miezi mitatu iliyopita
Ina maana mtu asipotumia laini miezi mitatu tu inafungwa ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ikopee haitafungwa mileleilikuwa kabatini lakini mara ya mwisho kuitumia ni miezi mitatu iliyopita
Ina maana mtu asipotumia laini miezi mitatu tu inafungwa ?
Ukiweza weka buku kila mwezi haitafungwa....Miezi mitatu michache sana labda iwe mwaka
Hehehe!!!Mfano akaunti yangu ina kiasi cha shilingi 2000, bado wataifungia!? Kama wataifungia, nini itakuwa hatima ya fedha yangu!?
Hata kama ina milioni wataifunga ili kuepusha mpewaji mpya kuikuta laini mpya ikiwa na hela.Mfano akaunti yangu ina kiasi cha shilingi 2000, bado wataifungia!? Kama wataifungia, nini itakuwa hatima ya fedha yangu!?
Mfano mtu kakamatwa yupo ndani lockup kwa miezi yote mitatu, na simu kawaida wanakaa nazo polisi muda mwingine,kwahiyo akitoka lockup na laini zake anakuta zishapewa mtu mwingine,au mwingine yupo ndani amekosa kukamilisha masharti ya dhamana ya mahakama kwa kipindi chote cha miezi mitatu, inamaana akitoka simcard zake anakuta kapewa mtu mwingine, au ikitokea mtu kasafiri.Jambo hili linapaswa kutazamwa tena upya kutokana na unyeti wake.
Ni lazima kabisa Serikali kupitia TCRA iweke Wazi kabisa kuhusu HAKI na WAJIBU wa Wamiliki hao tofaufi wa SIM Card kuhusiana na masuala haya ya kubadilisha Mmiliki wa SIM Card za simu kwa sababu suala hili linahusisha Usalama wa Taifa. Tukumbuke kwamba, suala la Usalama wa Taifa zima linaanzia na Usalama wa mtu mmoja mmoja katika Jamii.
Jambo hili linapaswa kutazamwa tena upya kutokana na unyeti wake.
Ni lazima kabisa Serikali kupitia TCRA iweke Wazi kabisa kuhusu HAKI na WAJIBU wa Wamiliki hao tofaufi wa SIM Card kuhusiana na masuala haya ya kubadilisha Mmiliki wa SIM Card za simu kwa sababu suala hili linahusisha Usalama wa Taifa. Tukumbuke kwamba, suala la Usalama wa Taifa zima linaanzia na Usalama wa mtu mmoja mmoja katika Jamii.
Hawaifungi ikiwa na hela.Mfano akaunti yangu ina kiasi cha shilingi 2000, bado wataifungia!? Kama wataifungia, nini itakuwa hatima ya fedha yangu!?
Wala sio dawa,nna laini yangu nadaiwa laki sita na tigo waliifungaga kitamboWe ikopee haitafungwa milele
Uliwezaje kudaiwa Laki sita mkuu, na mimi nataka nidaiwe laki kama sita au zaidi na YasHawaifungi ikiwa na hela.
Wala sio dawa,nna laini yangu nadaiwa laki sita na tigo waliifungaga kitambo
🤣🤣🤣 akikujibu nitag na mimi nataka kidaiwa vile vile.Uliwezaje kudaiwa Laki sita mkuu, na mimi nataka nidaiwe laki kama sita au zaidi na Yas
Usipotumia line yako miezi 3, hasa usipokuwa hewani na kuweka vocha mara kwa mara inaondolewa hewani. Nimeona line zangu za mitandao mitatu tofauti zimekufa.