luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , hiyo ilikuwa January. Baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaani cals and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi nikamfuata mpaka Kahama tokea Nzega
Yaani baada ya kuonana nahisi dogo hakufagilia muonekano wangu wa ki gangsta japo hakusema na hata baada ya hapo ushirikiano ukaanza kupungua kwa kasi mnoo yaani mpaka ulipofikia mwezi Machi dogo hasomeki japo hakusema NO ila kwa vitendo tu najua dogo kanizingua.
Sasa ndio hivyo tena mwamba bado nasaka maokoto pande za Mwakitolyooooo