Nilikutana na huyu Bibie kupitia mtandaoni yaan nyie mnaita social network nikapiga vocal dogo hakupangua , iyo ilikuwa January .. baada ya zile vocal dogo akaonyesha ushirikiano wa kiwango cha daraja la kwanza yaan calss and texts kila siku ebana nikapanga tukaonane face to face ....basi nikamfuata mpakaa Kahama tokea Nzega
Yaan baada ya kuonana nahisi dogo hakufagilia muonekano wangu wa ki gangsta japo hakusema na hata baada ya hapo ushirikiano ukaanza kupungua kwa kasi mnooo yaan mpaka ulipofikia mwezi machi dogo hasomeki japo hakusema NO ila kwa vitendo tu najua dogo kanizingua ...
Sasa. Dio ivyo tena mwamba bado nasaka maokoto pande za Mwakitolyooooo