Nimekuta naye Januari, baada ya miezi penzi chali

Itakuwa labda yey alikuwa anataka mtu serious (mume)ila kaona husomek kaona asipoteze mda na gangster 🤭🤭
 
Tafuta hela... Hayo mengine yasikutokee tena.
 
😁😁😁umenifurahisha aise..

mavazi tunayovaa hututengea madaraja na watu😀
Kuna vitu ambavyo kwangu hata sio kipaumbele, mavazi moja wapo.Sasa kama watanipotezea kwasababu hii basi sina neno😂.
Mimi siwezi fake life am so real
 
ContentCreator saidia ku edit heading ya huu UZI usomekw

Nilikutana nae January baada ya miezi mitatu Penzi chalii
 
Gangster wap umeenda umevaa majezi yako ya polister na macheni ya masufuria unategemea nin[emoji2]
 
Ukienda kukutana na mwanamke ,hakikisha unanukia na upo smart sana ila nakumbusha tuu usiende ukiwa umevaa suruali ya kitambaa , ni mara mia kuvaa jinsi lililo chanika chanika kuliko suruali ya kitambaa..

Shauri yenu kweli.
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…