Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

tujibiiii

hii sabuni mara nyingi naiona gest sasa najiuliza maswali kwenye pochi yake imefikaje na madukani ni ngumu kupatika yeye atakuwa kaipata wapi?

nilifikiri umemkuta na... plug, au vibrator kumbe sabuni tu
 
tujibiiii

hii sabuni mara nyingi naiona gest sasa najiuliza maswali kwenye pochi yake imefikaje na madukani ni ngumu kupatika yeye atakuwa kaipata wapi?
Huyo atakua alienda guest na linjemba. Akapelekewa moto mpaka hakutaka kuendelea kusubiri aoge ndio aondoke mwisho wa siku akaamua achukue sabuni ili akaogee bafu la bar ya jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…