Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

Swali la kipuuz hilo husiano ni gumu sana yani Sabuni tu unauliza je ungemkuta na Anal plugs?

Nenda kapime magonjwa yote kisha achana nae utakufa na Pressure wewe unaonekana huyawezi.
 
s
Swali la kipuuz hilo husiano ni gumu sana yani Sabuni tu unauliza je ungemkuta na Anal plugs?

Nenda kapime magonjwa yote kisha achana nae utakufa na Pressure wewe unaonekana huyawezi.
iyawez kweli
 
Wewe hizo guest houses zote, unaenda kufanya nini bila yeye?

Na unafikiri kabeba sabuni kama kukumbusha nini? 😂😂😂

Muulize kuwa mwanaume, ajue wewe mpekuzi.

Labda ulitaka kuokoa kitu umezoea kuchukua.. Sema akujue tabia zako za gesti unazoenda sana.

Rubbish
 
Back
Top Bottom