Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

Kwenye pochi ya mwenza wako ulikuwa unatafuta nini..hujui sharti namba moja kuhusiana na pochi za wanawake...
Tujibiiii

Hii sabuni mara nyingi naiona gest sasa najiuliza maswali kwenye pochi yake imefikaje na madukani ni ngumu kupatika yeye atakuwa kaipata wapi?
 
Kuna siku utakutana na dildo na taulo za kike zilizotumika acha kusachisachi mikoba ya watu
 
Nidhahiri kwamba hanauzoefu wa kuingia Guest, ila sisi wazoefu tunajua izo mambo.
kiufupi naweza sema ameandika jina uongo,kabila la uongo, anakotoka na namb ya simu fake, kwenye kitabu Cha Guest flan, Na kapewa alichokifata. Ila usipanik kiongozi mambo ya kawaidaa tu hayo ilimradi anakuheshimu pia Muulize swali Hii sabuni umeipata wapi? Jibubu lolote ukipewa likubali, atajishtukia na ataacha tabia ya kubeba sabuni ila kuacha kuudhuria kindi sio rahisi, Kutoka nje ya ndoa nikama Pepo likikuingia sio rahisi Kutoka.
 
nishamtimua leo.sijala. kbsa
 
Back
Top Bottom