Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

Nimekuta sabuni hii kwenye pochi ya Mwenza wangu

Mzoefuuu saba huyooo anajua huwezi kuiona atatembea nayo hata job atanawia...huyo mzoefuuuu
 
mbona hizo sabuni zimejaa kibao mitaani nenda buguruni,kariakoo zimemwagwa kibao chini au kwenye meza wanaoza sabuni,losheni,dawa za miswaki hao wamachinga wanazo sana sema ww ushazoea kutumia jamaa hizo ni luxury soap full kunukia zipo aina nyingi sana ni kuchagua tu
 
Back
Top Bottom