let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana.
Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama vile vimeibiwa Shambani kwangu usiku wa leo.
Mmoja kati ya wale Sita nahisi jana haikuwa mara yangu ya kwanza kumuona ila sikumbuki niliwahi muona wapi.