Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

Ni Mimi mkuu nimekula urefu wa kamba yangu kuliko nije nikukabe bora nifanye kazi na kujilipa
 
ndani ndani uku ilipokuwa hegemony ya Chama cha UDP zamani.

Vitendo vya wizi vimekithili sana kwasasa uku. Tuna Doria ya Kijiji, tunazunguka senta nzima usiku kuhakikisha maeneo yetu ni salama hali inayofanya wezi watupige mashambani sio mijini kwetu tena.
Kwetu hao watu wangerudisha wenyewee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom