Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

Nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana

kuna mkoa fulani tukiwa wadogo ilikuwa ukipita mashambani mahindi yakiwa yameanza kuiva/komaa unakuta damu zimenyunyizwaaa hahaaaaa tulikuwa tunatoka mbioooooooo tunaogopa wanyonya damu wapo karibu na eneo hilooo

anyway pole, kwa hali ya mvua kwa mwaka huu metembelea mikoa ya lindi/tanga/kilimanjaro/arusha baadhi ya maeneo watapata mazao ile kuna maeneo mazao yamenyaukaa kwa kukosa mvuaaa...so waliopata mazao watapatwa na changamoto ka yako wasipolindaa

"....Mungu asipoilinda nyumba wailindayo wanafanya kazi buree.."
 
Watafute, ulizia hapo kijijini na sasa imarisha ulinzi kwenye shamba lako...

Don't loose focus,,kuna wengine lengo lao ni kukupotezea focus na wala sio hasara ya kuibiwa..

Zingatia hilo,, kubali hasara, shika kilichobaki,, songa mbele....... Jali Muda na Uyajue ya kuzingatia
 
Leo Asubuhi nimeenda shambani kwangu nimekuta sehemu ya mazao yangu yamevunwa na watu wasiojulikana.

Usiku wa jana majira ya 3 usiku natoka senta kupiga piga story kijiweni nilikutana na vijana Sita wakiwa na Guta wamekwama karibu na Shule yetu ya kijiji na vitu walivyokuwa wamebeba ndivyo kama vile vimeibiwa Shambani kwangu usiku wa leo.

Mmoja kati ya wale Sita nahisi jana haikuwa mara yangu ya kwanza kumuona ila sikumbuki niliwahi muona wapi.
Inauma sana
 
Pole sana
 
Back
Top Bottom