Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
π€£π€£π€£ bro ulivyobadili gia juu kwa juu dah!!! Mjeda yupo Darful hana uhakika wa kurudi. Kula chuma hiko!!!Ushindwe na kidumu chako cha petroli. Boss Lady ni mtani wangu wa siku nyingi. Sema tu wametufungia kule kwenye uzi wetu wa Selfika siku hizi tumekuwa kama wakimbizi. Waifu wa mjeda huyo labda kama hunitakii mema kakako miye ππ
Kweli unakubali toto zuri km hilo uliache hivi hivi?? πππ