Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Ushindwe na kidumu chako cha petroli. Boss Lady ni mtani wangu wa siku nyingi. Sema tu wametufungia kule kwenye uzi wetu wa Selfika siku hizi tumekuwa kama wakimbizi. Waifu wa mjeda huyo labda kama hunitakii mema kakako miye πŸ–πŸ˜
🀣🀣🀣 bro ulivyobadili gia juu kwa juu dah!!! Mjeda yupo Darful hana uhakika wa kurudi. Kula chuma hiko!!!
Kweli unakubali toto zuri km hilo uliache hivi hivi?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Unajiita Strong and Fearless afu unakutana na vi-sms vichache unachoma moto nguo? Ukikuta amemchangia na figo si utafika Umoja wa Mataifa kabisaaa
 
Bosi Ledi.

Umeanza lini kuwa kakimbaumbau jamani? Sema tu uko humble ila ungekuwa mapepe kwa uzuri huo mbona JF isingekalika? Nina folder lako lina picha zako zote ulizowahi kuweka selfika. Niwache!
Wee msukuma uzuri who which where khah πŸ€”πŸ€”πŸ€”β˜ΊοΈ!
Sio zangu zile afu nilidaunilodi sehemu sina huo Uzuri hata!
Kwani nikikufata pm utantolea nje😁!

Vibayaa hivooo namie napenda kubebishwa walakhi!!
 
🀣🀣🀣🀣 bro Shimba ya Buyenze ya kweli haya??
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!
 
Hivi fotolab iliishia wapi?? 🀣🀣🀣
Yani kuna sura mpk fotolab zimewagomea hataree!!!
Fotolabu haishindwi kitu wewe 😁😁😁

Screenshot_20231013_185821_Instagram Lite.jpg
 
πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£!
Hebu kimbilia PM chap maana huyu Lamomy kwa kuchochea chochea moto hana mpinzani. Njoo PM please πŸ˜πŸ–
 
Back
Top Bottom