π€£π€£π€£ bro ulivyobadili gia juu kwa juu dah!!! Mjeda yupo Darful hana uhakika wa kurudi. Kula chuma hiko!!!Ushindwe na kidumu chako cha petroli. Boss Lady ni mtani wangu wa siku nyingi. Sema tu wametufungia kule kwenye uzi wetu wa Selfika siku hizi tumekuwa kama wakimbizi. Waifu wa mjeda huyo labda kama hunitakii mema kakako miye ππ
π€£π€£π€£ udugu sitaki ntakupasuaSikubali lazima niionje tamu yakeee usintantieee! Au hata nikibebishanae tu mi nafsi yangu kuntruuuuuπ!
π€£π€£π€£π€£ bro Shimba ya Buyenze ya kweli haya??π€ π€ π€ π€ π€ !
Namuelewa kitamboooo sema yee hanielewii na umbaumbau wangu huu nivokomaaa eti anipeleke wapi mi π!
Ushunguuuuuuuuuuuπ!
Kwanza anza kutibu chunusi kabla ya kusafishwa nyota πππNa mi Nataka anibebishe uduguuu sa niende wapi kila sehemu napigwa chambavuπππ!
Hebu nitafutie mganga nisafishe nyotraa kwani sio kwa gundu hili mweh!!!
Unajiita Strong and Fearless afu unakutana na vi-sms vichache unachoma moto nguo? Ukikuta amemchangia na figo si utafika Umoja wa Mataifa kabisaaaNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I donβt know what to do or how to act.
Wee msukuma uzuri who which where khah π€π€π€βΊοΈ!Bosi Ledi.
Umeanza lini kuwa kakimbaumbau jamani? Sema tu uko humble ila ungekuwa mapepe kwa uzuri huo mbona JF isingekalika? Nina folder lako lina picha zako zote ulizowahi kuweka selfika. Niwache!
Uduguuu uduguuu nakugawa buree umenishinda tabia ujuee!Kwanza anza kutibu chunusi kabla ya kusafishwa nyota πππ
Na pics zake kumbe unazo?? Unazifanyia kazi gani kaaka!!!? πBosi Ledi.
Umeanza lini kuwa kakimbaumbau jamani? Sema tu uko humble ila ungekuwa mapepe kwa uzuri huo mbona JF isingekalika? Nina folder lako lina picha zako zote ulizowahi kuweka selfika. Niwache!
Komaa mpk akuelewe usikubali Ngosha akuponyoke huyo πππWee msukuma uzuri who which where khah π€π€π€βΊοΈ!
Sio zangu zile afu nilidaunilodi sehemu sina huo Uzuri hata!
Kwani nikikufata pm utantolea njeπ!
Vibayaa hivooo namie napenda kubebishwa walakhi!!
Hata akiwa na cheti cha ndoa hatakiwi haribu mali za mtu kwa sababu ya mapenzi2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Hivi fotolab iliishia wapi?? π€£π€£π€£Uduguuu uduguuu nakugawa buree umenishinda tabia ujuee!
Si kuna editing na fotolab bana niwacheeeee kwani!!
ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!π€£π€£π€£π€£ bro Shimba ya Buyenze ya kweli haya??
Fotolabu haishindwi kitu wewe πππHivi fotolab iliishia wapi?? π€£π€£π€£
Yani kuna sura mpk fotolab zimewagomea hataree!!!
Ndio najisogeza sogeza bila kukata tamaa ivoo Mpaka kieleweke zamu Yangu itafika tu uduguuu ukivurugana nae tu nimooo!Komaa mpk akuelewe usikubali Ngosha akuponyoke huyo πππ
πππππππ! Weka mbali na mitandaooπ€ !
Hebu kimbilia PM chap maana huyu Lamomy kwa kuchochea chochea moto hana mpinzani. Njoo PM please ππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!