Na hapa umeandika kwa hasira saanaNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Aje kwako ili akachome na zakoNjoo kwangu Mrembo.
I will never betray you Love.
Kiboboso nii adjeee mzeeAje kwako ili akachome na zako
Mm nipo loyal sana, sijui kucheat wala kutongoza mwingine yoyote[emoji23][emoji23][emoji23] we ukoje?
Taraka inakuhusuNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Wahi chuoNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Kabisa nazijua sehemu nyingine hadi 15k ye anakuja kuchoma kirahisi hivi....roho mbaya tuKuna boxer sku hz ten kei moja[emoji1787]
Huyu Dem mm ngemtoa sadaka tuu labda ukute nyota sifuriii
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Huyu amejikuta zuchu 😅😅😅Kuchoma nguo na hata kuvunja TV sabuwufa na makorokocho mengine ya ndani ni tabia za Black Americans hizi. Hao wanaweza kukuchomea hata vyeti wakikiwasha tena umpate yule wa ghetto kabisa uwii. Hata we mwenyewe ukizubaa anaweza hata kikushindilia jisu la kifua au kukuotia niggah aliosoma nao waje wakunyoroshe. Sikujua kama huu utopolo umeshafika na huku kwetu!
😂😂😂😂 dah!!Mm nipo loyal sana, sijui kucheat wala kutongoza mwingine yoyote
😂Kudadeki 😂😂😂😂😂
Done[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!!
Basi sawa, jipigie makofi
🤣🤣🤣🤣 nakuona mrs NgoshaWee ni kungwi nyakangaa mmoja matraaatraaa sanaaaa! Hakiii mumeo hawezi hangaika kuchatishwa na vimbugila mbugila udugu!
Tena nyie wenye hasira kama hizo ndio wachepukaji wakuuNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Umefanya tukio la kitoto sana binafsi siwezi kukusapotiYani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Pole totooo. Kitu cha kujua siku zote ni hakuna mjuvi kwenye mapenzi. Siku zote watu tunapendaga kutoa ushauri kwa yasiyo ya kwetu. Yakitukuta sasa yale tunayoyashauri hatuyafati. Mwenyewe nina kituko nilishawahi kufanya nikikumbuka nacheka sana. Nikupe tu pole na omba msamaha basi.Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]