Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Umefanya tukio la kitoto sana binafsi siwezi kukusapoti
Imagine angechoma nguo zako ungejisikiaje?
Mapenzi yakiisha sepa usilazimishe wala ...usifanye matukio yatakayoharibu reputation yako...Sasa baada ya kuchoma nguo unahisi ndyo ataacha kuchepuka au ndyo atazidi kukupenda???

Mwenzio kapenda bff hujui anapewa nini na bwana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Pole sana dada, mm nimekupa ushauri mzuri tu kuwa sometimes wanaume huwa tunapitiwa(shetani tu) but mapenzi ya kweli hubaki pale pale kwa yule tumpendaye

Una kitu nitakutafuta nikufariji
 
Wala usijione mkosaji ni kawaida wivu wa mapenzi haswa kwa mwanaume unayempenda kwa kumaanisha!!!
Mwenzio nishachoma nguo sana, nishapasua vioo vya gari na simu nishavunja vunja nyingi.
Kila mtu na hasira zake!!
Wengine humu hasira zao wanaenda kutombeeesha nje ko za kuambiwa changanya na zako zis iz jf tembea na hilo!!!
Malaika tupu humu wanaishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes ushauri mzuri
 
Mwenzio kapenda bff hujui anapewa nini na bwana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata kama ananipa yote....huu ufala sifanyi bff....kwanza ni kama anafosi huyu hapendwi
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Kulikuwa hakuna haja ya kufanya hivyo hiyo sio nzuri next time unaweza fanya more than that ikawa mbaya

humu huwezi pata majibu sahihi kwa hiki ulichofanya,ila kuwa makini mpendwa hali hii itakufanya uje upige tukio la majuto

Kuwa makini.
 
Kwa nini usingevunja simu au umvizie usiku mvute nanii yake.
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Wewe ni mchaga nn?
 
Hasira hasara km ni mimi nakufugia mbwa wa kizungu na mapamga shaa au jeteriii...
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.

Afya ya akili...
 
Huyo ana hasira za mkizi hawezi kujicontrol, tumetofautiana mioyo
Hizi hasira nyingine bff sio za kuendekeza
Hata kama mpenzi wako Ana pesa kiasi gani usimuharibie vitu vyake vya thamani
Tafuta namna nyingine ya kutatua hiyo shida....au kavunje vitu vyako basi kama hasira imezidi....Kuna vitu sio vya kuendekeza bff
 
Nivunje vitu vyangu ili iweje?? Navunja vyake/vyetu ndio hasira zinapoa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bora anayevunja vitu kuliko anayeenda kulipiza kwa kugawa papa nje!!!
 
Back
Top Bottom