Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Umefanya tukio la kitoto sana binafsi siwezi kukusapoti
Imagine angechoma nguo zako ungejisikiaje?
Mapenzi yakiisha sepa usilazimishe wala ...usifanye matukio yatakayoharibu reputation yako...Sasa baada ya kuchoma nguo unahisi ndyo ataacha kuchepuka au ndyo atazidi kukupenda???
Mwenzio kapenda bff hujui anapewa nini na bwana shemeji [emoji23][emoji23][emoji23]