Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Umechemsha pakubwa...!!!Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]