Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Subiri kibanoo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiona hivyo, wewe sio mtamu, yaani una matatizo labda kiburi, hasira, dharau, uchafu, mgomvi, kitandani una masharti kama polisi, yaani hunogi, mdomo kama kasuku, kiherehere, roho juu juu, mtu wa pressure kila wakati, yaani unamletea ugonjwa wa moyo, yaani haunogi in all sectors za mapenzi, sijamaliza labda una wivu sanaaaaa, anaamua kutafuta wanawake wengine
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Mi nakuacha on the spot. Maana cku ukikosa cha kuchoma utanichoma na maji ya Moto. Hufai kuwa mke wa mtu.
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Ilo jina unalo tumia nikama halisadifu ulivyo 😂😂😂😂
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]

Usikasirike bali jifunze kwetu... Ukweli unapewa umekuuma ila jifunze kubadilika.. ni maisha haya.. tukuchekee tukushangilie uendelee kutenda majanga haya huko mbeleni.. naaaah kabisaaa

Hivi ulinijibu maswali yangu?

Your guy mmefikia wapi?
 
Bado hataki kunisamehe na hataki kurudi nyumbani
Sijui Ndio amepatia hapo sababu [emoji24]
 
Back
Top Bottom