BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Hahahah wamasai wamejaliwa udrruugu wangu.🤣🤣🤣 hatareee!! Sasa wanakuwa na ladha gani?? Ngoja wizo aje atuambie yeye ni mtaalamu BICHWA KOMWE - wizo emu niambie najua wewe kabali yao 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah wamasai wamejaliwa udrruugu wangu.🤣🤣🤣 hatareee!! Sasa wanakuwa na ladha gani?? Ngoja wizo aje atuambie yeye ni mtaalamu BICHWA KOMWE - wizo emu niambie najua wewe kabali yao 🤣🤣🤣
Ndio uniambie vizuri sasa wizo 😂😂😂Hahahah wamasai wamejaliwa udrruugu wangu.
Wamasai wana linyama kwenye kikojoleo, ukikunwa nalo lazima ukojoe kama KUKU udrrugu wangu 😁😁Ndio uniambie vizuri sasa wizo 😂😂😂
[emoji23][emoji23] sasa ukutane na vampire kama hiloHahaa una vituko mkuu Nimecheka hapo " Ndiomana sitaki kudate mimi"
Lazima ukimbieeee 😁[emoji23][emoji23] sasa ukutane na vampire kama hilo
Subiri kibanoo[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Mi nakuacha on the spot. Maana cku ukikosa cha kuchoma utanichoma na maji ya Moto. Hufai kuwa mke wa mtu.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Ilo jina unalo tumia nikama halisadifu ulivyo 😂😂😂😂Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Natamani nipate mwanamke anayenipenda hivi,mwenye wivu hivi nami nimpende the same
😂😂😂Yes am yua wani endi onle
[emoji1787][emoji1787]We ni mwehu eti?
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Usikasirike bali jifunze kwetu... Ukweli unapewa umekuuma ila jifunze kubadilika.. ni maisha haya.. tukuchekee tukushangilie uendelee kutenda majanga haya huko mbeleni.. naaaah kabisaaa
Hivi ulinijibu maswali yangu?
Your guy mmefikia wapi?