Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Umechemsha pakubwa...!!!
 
Kwani hutuoni sisi mpaka uchome hzo nguo za ur guy!! Ur strong nyenyeyeeeeeeee
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
😂😂 pole… ukute sie ndo michepuko yenyewe..
 
Kuna binadamu yangu waligombana na mke wake , yule mwanamke akachoma nyumba
Maeneo ya Boko.
 
Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…

Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana

bora kumfukuza, ukimpiga domestic violence inakuhusu😂

fear women
Hivi bongo kuna domestic violence issues ? Wazungu kwenye DV uki arrestiwa unadhani waisraeli wamepata kiongozi wa Hammas
 
Wee udugu Ngosha who which where weeeh sheeendwaaaaa! Hekaheka za jf naziwezea wapi staki mi! 🙌🙌
Utaziweza tyuu!!!😂😂😂
Mbona za mwanzo uliziweza? Vipi sasa bro ushaanza kumbebisha 😜
 
Nimeridhika napambana naharee yangu humu staki mi🤠!
😂😂😂 usimfanyie hivo Ngosha umemjaza jana hapa had umemvuruga ss hivi unamkataa!!!
Umekuwa bff wangu anamjaza mzee wa loose balls akijaa anamruka km sio yeye 😂😂😂
 
😂😂😂 usimfanyie hivo Ngosha umemjaza jana hapa had umemvuruga ss hivi unamkataa!!!
Umekuwa bff wangu anamjaza mzee wa loose balls akijaa anamruka km sio yeye 😂😂😂
🤣!
Sema wasukuma wapo vizureee nasikia wanapenda balaa!
Mie humu🙌!
Hongereni sana mliobarikiwa humu🤠!
 
🤣!
Sema wasukuma wapo vizureee nasikia wanapenda balaa!
Mie humu🙌!
Hongereni sana mliobarikiwa humu🤠!
😂😂😂😂 Si wanasema wana vifurushi vya mwezi eti?? Wakifatiwa na ndugu zao Maasai.
Eti Nyakanga wangu mama k kuna ukweli hapo??
 
😂😂😂😂 Si wanasema wana vifurushi vya mwezi eti?? Wakifatiwa na ndugu zao Maasai.
Eti Nyakanga wangu mama k kuna ukweli hapo??
Vifurushi vya mwezi🤣🤣🤣!

Wee sema kweli udugu 🤔🤭!

Nilikua sijuiio heko kwao asee!
 
Back
Top Bottom