Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Na hapa umeandika kwa hasira saana
 
Taraka inakuhusu
 
Wahi chuo
 
Kuchoma nguo na hata kuvunja TV sabuwufa na makorokocho mengine ya ndani ni tabia za Black Americans hizi. Hao wanaweza kukuchomea hata vyeti wakikiwasha tena umpate yule wa ghetto kabisa uwii. Hata we mwenyewe ukizubaa anaweza hata kikushindilia jisu la kifua au kukuotia niggah aliosoma nao waje wakunyoroshe. Sikujua kama huu utopolo umeshafika na huku kwetu!
Huyu amejikuta zuchu 😅😅😅
 
Hata kavideo tu wakati unalipua match box nakapetoroli kakukolezea hukuchukua tukaona kama evidence ! Tutaamini vipi ulichoma😀😀😀
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Tena nyie wenye hasira kama hizo ndio wachepukaji wakuu
 
Ninauza WheelChair nzuri sana. Najua utaihitaji nitakuuzia kwa bei elekezi.
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
 
Umefanya tukio la kitoto sana binafsi siwezi kukusapoti
Imagine angechoma nguo zako ungejisikiaje?
Mapenzi yakiisha sepa usilazimishe wala ...usifanye matukio yatakayoharibu reputation yako...Sasa baada ya kuchoma nguo unahisi ndyo ataacha kuchepuka au ndyo atazidi kukupenda???
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Pole totooo. Kitu cha kujua siku zote ni hakuna mjuvi kwenye mapenzi. Siku zote watu tunapendaga kutoa ushauri kwa yasiyo ya kwetu. Yakitukuta sasa yale tunayoyashauri hatuyafati. Mwenyewe nina kituko nilishawahi kufanya nikikumbuka nacheka sana. Nikupe tu pole na omba msamaha basi.
 
Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]

Wala usijione mkosaji ni kawaida wivu wa mapenzi haswa kwa mwanaume unayempenda kwa kumaanisha!!!
Mwenzio nishachoma nguo sana, nishapasua vioo vya gari na simu nishavunja vunja nyingi.
Kila mtu na hasira zake!!
Wengine humu hasira zao wanaenda kutombeeesha nje ko za kuambiwa changanya na zako zis iz jf tembea na hilo!!!
Malaika tupu humu wanaishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom