Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Una maradhi ya akili wahi mtibabu mapema
 
Alivorudi nimemwambia ukweli, kakasirika sijawahi kumuona akiwa na hasira vile hajasema chochote kachukua simu yake kaondoka, Jana sijalala nahangaika tu kumpigia na kupigia rafiki zake yani Sijui kaenda wapi jamani [emoji24][emoji24][emoji24]

Acha kupigia rafiki zake unajichoresha tu
 
Jichunguze vzr ukiona mwamba anaruka ukuta lazima Kuna tofaut anaipata Kwa jirani!
 
Anachomaje nguo za mwenzake?? Ukute mkaka alijipinda akaingia maduka ya wool worths?

Si angelia tu jamani? Kama alikuwa na hasira sana?
Ukute anachoma nguo afu ye mwenyewe ni mwenzetu wale tunapelekega boxer na saa na soksi.

Anajikuta zuchu king’ang’a [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
 
Kweli wewe ni mstrongi na mfialesi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimecheka ulivyoshangaa eti usinambie. πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama tunavisirani yabidi mtuvumilie tu ikibidi kwani na sisi ipo siku tutakuwa vibonge. πŸ˜‚

Japo nawaza πŸ€” kimbaumbau akibongeka huo ukisirani unaondoka kweli? Nadhani hizi ni tabia tu ambazo hazina uhusiano wa maumbile mzee mwenzangu.
 
Wanawake hampendan ht
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…