Pridah
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 1,495
- 3,453
Inawezekana.Kumbe ndomaana na simu akamuachia ili aone makusudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana.Kumbe ndomaana na simu akamuachia ili aone makusudi.
So nawewe unawasifiaga wanaume DM au mnafanya na bwanaako kwa lipi?Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…
Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana
[emoji3][emoji3][emoji3]1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.
Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1]Ushauri wangu kwako.
Hili jambo ni zito sana.
Cha kufanya ulipoanzia malizia.
Choma kila chenye kuhusiana na "My guy" wako nguo, chumba, majirani zake wakatamate piga kiberiti, sehemu anafanyia kazi piga kiberiti, usiache kitu.
Anakuumizaje mtoto wa watu usie na makuu.
Ukikamilisha hilo zoezi nicheki PM, tunahitaji mchoma taka magereza.
'your guy' sio yule boss wako mnamgombania kule ofisini?
vita vya panzi furaha ya kunguru[emoji23]
Sasa hata niki address unazani atanipa majibu gani….
Mimi bado hajanioa so siwezi kumcontrol kiasi hicho ukizingatia nimeingia privacy ya mtu bila mwenyewe kujua so hata ningemwambia isingebadilika kitu zaid zaid tungegombana tu
Nimeacha mambo yapiteee
Sasa wanawake wenzio umewatukana wana kosa gani? Huyo "my guy" ndo tatizo lako
Alivyorudi ikawaje?
Sa itakuwaje cute?
Kuanza kukagua cm yake, that was the biggest mistake of your life kama umewekeza sana kwake.
Pole sana, naelewa unavyo jifeel.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wewe lazima utakuwa kimbaumbau....
Mzee mwenzangu vimbaumbau tumekukosea nini lakini? 😅Wewe lazima utakuwa kimbaumbau....
Alikunya sehemu gani eti?A month ago niliona kijana Twitter analalamika demu wake kaenda kunyea getoni kwake na kuharibu kila kitu ndiyo wewe ?
Usinambie kuwa na wewe ni kimbaumbau wallahi 😳. Miaka na miaka huwa natamani kuzama PM kwako ili kuona kama yaliyomo yamo. Kama ni kimbaumbau basi pengine ndo maana huwa napata zero energy. Ila nitajihakikishia siku moja 😁😁😁Mzee mwenzangu vimbaumbau tumekukosea nini lakini? 😅