Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…

Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana
So nawewe unawasifiaga wanaume DM au mnafanya na bwanaako kwa lipi?
 
1. Ur username doesn’t deserve you.. ibadili ASAP.

Ungekuwa strong enough ungesubiri my guy arudi, uchome hizo nguo zake. Uone namna ungezabuliwa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ushauri wangu kwako.
Hili jambo ni zito sana.
Cha kufanya ulipoanzia malizia.
Choma kila chenye kuhusiana na "My guy" wako nguo, chumba, majirani zake wakatamate piga kiberiti, sehemu anafanyia kazi piga kiberiti, usiache kitu.

Anakuumizaje mtoto wa watu usie na makuu.

Ukikamilisha hilo zoezi nicheki PM, tunahitaji mchoma taka magereza.
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sasa hata niki address unazani atanipa majibu gani….

Mimi bado hajanioa so siwezi kumcontrol kiasi hicho ukizingatia nimeingia privacy ya mtu bila mwenyewe kujua so hata ningemwambia isingebadilika kitu zaid zaid tungegombana tu

Nimeacha mambo yapiteee

Ila kweli dear
 
Sasa wanawake wenzio umewatukana wana kosa gani? Huyo "my guy" ndo tatizo lako

Alivyorudi ikawaje?

Alivorudi nimemwambia ukweli, kakasirika sijawahi kumuona akiwa na hasira vile hajasema chochote kachukua simu yake kaondoka, Jana sijalala nahangaika tu kumpigia na kupigia rafiki zake yani Sijui kaenda wapi jamani [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mzee mwenzangu vimbaumbau tumekukosea nini lakini? 😅
Usinambie kuwa na wewe ni kimbaumbau wallahi 😳. Miaka na miaka huwa natamani kuzama PM kwako ili kuona kama yaliyomo yamo. Kama ni kimbaumbau basi pengine ndo maana huwa napata zero energy. Ila nitajihakikishia siku moja 😁😁😁

➡️➡️➡️ On a serious note ni matani tu mzee mwenzangu japo ni kweli vimbaumbau mna visirani sana. Bonge kukasirika mpaka kuchoma nguo sidhani 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🖐
 
Upuuzi mtupu!Sasa nguo zilikukosea Nini? nyie ndio wanawake mnaorudisha maendeleo nyuma...
Pili,unatukana wanawake wenzio Kwa Nini?hujui walitongozwa kama wewe?tena waliambiwa Yuko single...
Grow up
 
Back
Top Bottom