Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Kama utaamua kubaki apo kwa my guy wako hakikisha hakuna panga ila kwa usalama zaid njoo ujifiche Getto nitakurudisha kesho jion kukuombea msamaha huwez ukachoma vinjunga vya mwamba akakuacha salama
 
Tutakukaribisha kwenye comvo on one condition. Ikitokea tukapanga mechi basi na wewe inabidi uhudhurie kama mchezaji. Antonnia unasemaje? 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
Eendiwooooo msukuma akeee trena Lamomy atakua kocha anaeshiriki ligi yuko vizureee kinoumaaa😁!! Anavojua majambozz Lazima uwehukeee kwa utrammmm!
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Huo ni utoto aiseh
 
Madai yako una hasira za kizungu
 
Mpe mabuno
 
Sasa 77yrs mdg wangu..usije meza fizi zake kabisa... 🤣 🤣 🤣
Wazeee ndio wazuri sis hawanaga mambo mengi akikugusa upaja tu imooo hata hakuchoshi😁🤭!

Hawa vijana wa kusimamia ukucha ukitoka hapo maumivu yake hukojoiiii hapana Kwakweli🤣!
 
Seems you can't handle issues, you resort to violence as first option of dealing with misunderstanding in relationships, you judge before listening to the other side.
You have chance to be better person, that's why you feeling guilty.
You can be baddest too if you took comfort in other people's destruction.
It's time to set some principles to yourself
 
Maana akikuoa siku akikukosea tena utachoma gari yake, akikukosea tena unachoma nyumba na akikukosea tena unamchoma halafu na wewe kwa hasira unajichoma. Acha hasira za kuharibu...siku nyingine akikuudhi choma hiyo papuchi yako ili akose pa kuingiza.
 
Back
Top Bottom