Nimekuta SMS za jirani kwenye simu ya mke wangu

Kwan huyu ndio mkeo
 
Huna akili? Kwenye hiyo msg kuna sehemu kaandika amekataa?
 
Michezo ya kisaikolojia hiyo, yaani unachezewa akili.

Na kwa kuwa jambo linakuhusu, huwezi kulifahamu hadi upate msaada kwa watu wengine ama kupitia Mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa kwa mfumo uliokupa taarifa hii.

Kwa sisi wazoefu, maneno hayo zilikuwa ni chati za mtu na mpenzi wake.

Kwa maisha ya kisasa, kugawa namba ni hatua ya mwanzo ya kumkubali mtongozaji.

Kitendo cha mkeo kukubali kugawa namba tayari ashashobokea na kumkubali jamaa, mengine hatuwezi kusema wazi, tunakuficha.

Ingelikuwa namba ya mkeo jamaa kaipata kwa watu wengine, baada ya salamu za mwanzo na kuonesha nia ovu, mkeo angeliiblock, kuchat na mtu tayari mkeo alishahiyari.

Mungu amekusanua na sisi walimwengu tunakusanua.

Pamoja na ukweli tuliokuanikia hapa, wawezakuta ukaanza kutuchongea kwa mkeo huku ukilia kwa kumuungamia maneno yote haya tunayokueleza, kama mkeo atadhamiria na kuamua kuifuta kesi hii kupitia kwenye 6Γ—6.
 
Huna mke hapo..
 
Kama ndio huyo kwenye picha anaonekana mzuri sana hata Mimi kanisshawishi πŸ˜‹πŸ˜‹, kiufupi bodaboda ni ex wake ashaichapa sana hapo wewe cha kufanya tuliza boli usilete vurugu
 
SMS inaonesha wanachati mtu na mpenzi wake walioachana lakini boda boda anataka aendelee kupasha kiporo lakini mke wako ni kama vile sitaki nataka, hapo ni wewe kujifix kibingwa, mfate jamaa live mueleze ukweli, ikibidi mfatilie taratibu kama ana mpenzi pita naye au kama ana mke pita naye mke wamo ajue na boda ajue baada ya hapo ndo ukae naye kiume sasa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…