unaulizaje maswali ya kinyaa wakati wa lunch? ungesubiri jioni mkuu hahahhahaSiku Moja nikiwa natafta ID yangu , nilikutana na Ped ya Mrs iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumban,nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya nikuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote sasa majuzi tena nmekuta ameweka nyingine ,nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sjamwambia Chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sjamwambia
Ila watu😂Mkeo mshirikina huyo, hua anaweka kwenye mboga baadhi ya vipande vya pedi vyenye damu.
Msameheunaulizaje maswali ya kinyaa wakati wa lunch? ungesubiri jioni mkuu hahahhaha
btw huyo mchafu tu hakuna uchawi hapo
Haha pole sana Mkuuunaulizaje maswali ya kinyaa wakati wa lunch? ungesubiri jioni mkuu hahahhaha
btw huyo mchafu tu hakuna uchawi hapo
IDWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Namm nilikuwa nadhan hivyo lakini sasa ,kwann iwe Moja tu.Mwambie tu anavyozikusanya asisahau kuchoma na aziweke mahali pamoja sio kila mahali anaweka..
Maana sio kila mtu anatupa kwenye dustbin
Ni pochi yao......We jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Nilikuwa natafta ID yanguWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Weeee...Ni pochi yao......
Ni kujisahau tu mkuu, Hakuna kitu kibaya... Mwambie awe anaweka kwenye kifungashio kimoja sio kuweka kila mahali ndio maana nyingine zinasahaulika.. Na soon akimaliza mzunguko azichome zote Kwa pamoja.Namm nilikuwa nadhan hivyo lakini sasa ,kwann iwe Moja tu.
Kuna Moja hiyo ilikuwa Ina zaidi ya Miezi Mitatu maana ilikuwa ishakauka
Ahsante kwa Ushauri wako Mkuu .Ni kujisahau tu mkuu, Hakuna kitu kibaya... Mwambie awe anaweka kwenye kifungashio kimoja sio kuweka kila mahali ndio maana nyingine zinasahaulika.. Na soon akimaliza mzunguko azichome zote Kwa pamoja.
Mimi huwaga nazihesabu kabisa ili nijihakikishie Hakuna ambayo nimesahau
Yeah ni kweli.. Mwambie pia ajitahidi kuficha maana pad iliyotumika Ni uchafu, aweke mahali ambapo atakua anaziona peke yakeAhsante kwa Ushauri wako Mkuu .
Maana hawa ndugu zetu wana mambo mengi