Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Hebu wanaume tuache uvulana!
hivi vitu vidogovidogo visituongezee hofu zisizo za msingi. mwisho wa siku tutashindwa kutafuta hela na kutekeleza majukumu yetu ya kawaida.
Inawezekana anaweka ili aweze kuzichoma kwa pamoja na si vinginevyo na inawezekana pochi anayoweka ni kuukuu au haitumiki kwa mitoko.
achana kabisa na pochi za wanawake zitakupa changamoto usiotarajia kwakuwa binadamu wote hatujakamilika.
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Niliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Kahifadhi aipige kiberiti baadaye, lakini kajisahau...
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Halina shaka hilo na usiwe na imani haba. Yamkini anakusanya aje achome kwa pamoja.
 
Katika pilika atakuwa kasahau. Limbwata hutengenezwa kwa damu ya hedhi mbichi. Inaungwa kwenye mchuzi wa nyama / samaki au maharage.yaani ananawia kwenye sufuria au bakuli kukingia ile inayotoka huko then ikiwa fresh inawekwa kwenye mboga
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Jamii forum imekuwa na wavulana wengi sana
 
Vijana siku hizi wamepoteza Uwezo wa kuzungumza na wake zao

Zungumza , weee fala ,usinipe presha.....

Alibadili hiyo ped akiwa kazin, Sasa hakutaka kuitupa huko, akaweka kwa mkoba, kajisahau mpaka Sasa maana mikoba anayo mingi.

Kama unataka ushauri wa Presha ,Huu hapa...

Huyo Mkeo ni mshirikina, Huwa anakamlia Damu hiyo kwenye Mapishi unayokula...jiandae kusahau kwenu .
 
Back
Top Bottom